ANGALIA PICHA;TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA;TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR

ANGALIA PICHA;TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR

 Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
 Baba mzazi  wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu na jamaa msibani hapo.…
 Dada wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.


Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
(PICHA NA HAMIDA HASSAN / GPL)

Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template