Home
»
»
BREAKING NEWZZZ. SAJUKI AFARIKI DUNIA
BREAKING NEWZZZ. SAJUKI AFARIKI DUNIA
Breaking News:Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damuSOURECE ITV
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !