UDAKU WA MASTAA WA BONGO;SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » UDAKU WA MASTAA WA BONGO;SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI

UDAKU WA MASTAA WA BONGO;SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI




Katika  pitapita   zangu nimefanikiwa  kumnasa  live  Salama Jabir  akinyonyana  ndimi  bila  chenga  na  mwenzake...!!

Nashindwa  kuthibitisha  huyo  wa  pili  ni  nani  na  ni  jinsia  gani....nikimwangalia  haraka  haraka  naona  kama  ni  mwanaume  na  namfananisha  na  mdogo  wake    Wema   Sepetu  aitwaye  Bill Sepetu....
.

Nikijaribu  kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni  mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha   na  sidiria  za  akina  dada....!!

Yaani  nimeumiza  macho  mpaka  yanauma...Nashindwa  kuyaamini  macho  yangu  kuhusu  Salama Jabir.Sikutegemea
..!!

Ni mimi,
Mdau  wenu...

Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/05/salama-jabir-akibadilishana-mate-na.html#ixzz2SgQ2p7UU
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template