Home
»
»
ANGALIA PICHA NAMNA DAR EXPRESS LEO LILIVYONUSURIKA KUUA WATU.
ANGALIA PICHA NAMNA DAR EXPRESS LEO LILIVYONUSURIKA KUUA WATU.
Basi la Dar Express lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda mkoani Arusha lilinusurika kuanguka baada ya kuacha njia na kugonga ukingo wa barabara ya Chalinze, Segera kama linavyoonekana katika picha
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !