Kwa  kawaida jarida lenye title ‘Men of the Year’ lingekuwa na picha ya  mwanaume wa shoka akiwa katika pozi lake, lakini picha ya Queen Rihanna  akiwa mtupu inaonekana kuvuka hii mipaka ya mawazo ya kijinsia kulipamba  jarada la jarida hilo kwa pozi la kichokozi.

 Katika  hiyo picha RiRi anaonekana akiwa amepozi akiwa amevaa leather jacket  kwa juu na kuacha sehemu nyingine zote bila pamba ya aina yoyote huku  mkono wake ukipoz ‘somewhere.


Kwa  kuwa katika hiyo page ya juu ya jarida hilo la ‘Men of The Year’ ‘the  Diamond singer’ amesababisha liongezewe sentensi kwenye mabano na  kusomeka ‘Man of the Year (And One Hot Woman), na the R&B singer  anaonekana kuwapa kampani wanaume wa mwaka Channing Tatu,, Ben Affleck,  Quentin Tarantino na Usain Bolt.

Rihanna  hivi karibuni ameng’arisha majarida kadhaa kwa picha zake za utupu  ambapo zilionekana kwenye ‘V Magazine’, akiwa amepozi na super model  Kate Moss wote wakiwa watupu katika picha kadhaa. 
soma zaidi
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
shdaaa
ReplyDeleteEnter your comment...kutisha
ReplyDelete