ANGALIA PICHA ZA KICHUOCHUO NAMNA FID1 NA STAMINA WALIVYOFUNIKA KWENYE STUDENT’S SPECIAL BASH ILIVYOFUNIKA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA ZA KICHUOCHUO NAMNA FID1 NA STAMINA WALIVYOFUNIKA KWENYE STUDENT’S SPECIAL BASH ILIVYOFUNIKA

ANGALIA PICHA ZA KICHUOCHUO NAMNA FID1 NA STAMINA WALIVYOFUNIKA KWENYE STUDENT’S SPECIAL BASH ILIVYOFUNIKA


Fid Q na Stamina wakifanya makamuzi ya hatari jukwaani.
Dullayo akiwapelekesha puta mashabiki.
Rich Mavoko akionyesha cheche zake jukwaani.
Kala Jeremiah akiwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Stamina akiwatuliza mzuka mashabiki.
P Square wa Bongo (waliovaa ‘jeans’ na miwani) na madansa wao, wakilishambulia jukwaa.
Tano Bora wa shindano la The Mic King wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanenguaji wa ‘Twanga’ wakionyesha ‘matindo’ wakiwa chini.
Fid Q ‘Ngosha’ akikamua mbele ya mashabiki wake.
Dullayo akifanya vitu vyake.
Kala Jeremiah akitoa burudani ya aina yake stejini.
Mashabiki wakimshangilia Kala (hayupo pichani).
Sehemu ya mashabiki waliokuwa wamefurika ukumbini hapo.
Stamina akiwachombeza kwa staili mashabiki.
Nyuso za burudani zilizokuwa zimefurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
WASANII wa nguvu nchini wakiwemo Fid Q, Rich Mavoko, Dullayo, Kala Jeremiah, Stamina, bendi ya ‘Twanga Pepeta’, na mchuano wa wasanii wa muziki wa kufoka wa The Mic King waliwapagawisha maelfu ya wapenzi wa burudani waliofika katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template