Home
»
»
THIS IS DIAMOND THE PLATNUM; ANGALIA PICHA NAMNA Diamond Alivyoshinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya
THIS IS DIAMOND THE PLATNUM; ANGALIA PICHA NAMNA Diamond Alivyoshinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya
|
Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa Tunzo hiyo baada ya kupokea |
|
Hapa nikifurahishwa na kustaajabu jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia
Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous......
|
|
Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo |
|
Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya |
|
Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya... moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa |
|
Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar.... naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo |
|
Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu |
|
Hapa nikiwa na mwanangu Wello toka Kagomaz, moja ya kundi la muziki mahiri nchini Kenya wenye makazi yao Malindi na Nairobi... Pia hivi sasa ni Assistant Director wa kampuni ya Next Level iliyo chini ya Adam juma... |
|
mnh! kunambi tena..... |
|
Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar |
|
Redcarpetin kulikua hivi sasa |
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !