AY, FA ,CPWA NA JOKATE BALAA! CHECK OUT PHOTOS WAKALI WA BONGO AY, CPWAA, FA NA JOKAE WALIVYO INGIA SAUZI TAYARI KWA CHANNEL 0 MUSIC AWARD
Team ya wasanii wa Tanzania waliowasili Johannesburg asubuhi hii tayari kuwani tuzo za Channel O Music Video Awards.\, kutoka kushoto ni CPwaa, AY, Jokate Mwegelo ambaye ni mtangazaji wa Channel O kutoka bongo na Mwana FA
Peace ya CP
AY keeping it Fresh..
Wasanii hao wakipanda basi la Channel O wakielekea Hotelini kwa ajili ya mapumziko
No comments:
Post a Comment