Keyshia Cole na Ashanti wamefanya mambo makubwa katika wimbo wa 'Woman to Woman' ambao umebeba jina la albamu ya tano ya Keyshia, itakayoingia sokoni jumatatu
Akinadada hao wanaimba kuhusu mwanaume mmoja ambaye amekuwa na mahusiano nao ya kimapenzi wote wawili lakini baada ya kugombana kutokana na jambo hilo wanakaa pamoja na kulifanyia kazi suala hilo
No comments:
Post a Comment