Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          AY WA TANZANIA ANYAKUA TUZO YA KWANZA YA Channel O, MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
 
AY WA TANZANIA ANYAKUA TUZO YA KWANZA YA Channel O, MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
 Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama  A.Y leo huko nchini South African amejichukulia tuzo ya kwanza katika kipengele cha 
Most Gifted East African video of the Year na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizoMost Gifted East African video of the Year  - Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance
- Camp Mulla – Party Don’t Stop
- AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone
- K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose
- Navio – One & Only
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !