BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA
HABARI za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe ni kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa, Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi.
No comments:
Post a Comment