Dj maarufu ambaye kwa sasa ni msanii wa bongo flavour ambaye anafanya poa na ngoma yake “Pamoja we Can” akiwa amewashirikisha mastar mbalimbali in Tzee music industry.
Si mwingine ni Hugoline Mtambachuo alias Dj Choka kupitia his Official facebook account aliweza kupost picha inayoonyesha amechora tatoo ya heavy weight Mc in Tzee music industry Professa Jay ikiwa na ujumbe usemao “Much respect to my brother PROF JAY, hii ndio tattoo niliyomaliza kuchora. ONE” na ndipo fans wake walipoanza kutoa comment zao kuhusu picha ya tatoo hiyo. Ndipo Dj Choka
alipoamua kupost ujumbe huu baad ya kusoma Comments hizo:
No comments:
Post a Comment