|  | 
| 1.HII  NI TAKWIMU ILIYOFANYWA NA MVUTOKWANZA KWA KUANGALIA MAISHA WASICHANA  HAWA MAARUFU KATIKA  FANI YA BURUDANI......JINA LA MWANADADA JUDITH  WAMBURA NDIO LIMEKUWA LA KWANZA KUTAJWA KWA KILE ALIYEGUSWA, INASEMEKANA  KUWA LADY JAY DEE NDIO AMEKUWA AKIONGOZA UUZAJI WA MAGAZETI MENGI YA  BURUDANI ENDAPO HABARI YAKE ITAKUWA KATIKA UKURASA WA KWANZA | 
 
|  | 
| 2.WEMA  ABRAHAMU SEPETU, YEYE AMEKUWA AKIONGOZA KATIKA MAUZO YA FILAMU AMBAZO  AMEKUWA AKISHIRIKISHWA KUTOKANA NA UFINYU WA SAUTI YAKE AU UTUMIAJI WA  SAUTI YAKE, KWA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA WEMA SEPETU NDIO AMEKUWA  AKIONGOZA KWA KUUZA MAGAZETI YA HABARI ZA BURUDANI NA UDAKU, NA UMAARUFU  WAKE UNAELEZEWA KUWA NI ZAIDI YA WASANII WOTE WA FILAMU KWA SASA. | 
 
 
|  | 
| 3.FIDERINE  IRANGA, UKUBWA WA UMBO NA MBWEMBWE KIPINDI ALIPOKUWA AKIPANDA STEJINI  MIKA MICHACHE ILIYOPITA KULIPA UMAARUFU MKUBWA NA KUWA MMOJA WA WANAWAKE  WACHACHE WALIKUBALI KUSEMA VIBAYA NA MAGAZETI AU MEDIA NZIMA YA  TANGAZIA BILA KUJALI, MIAKA ZAIDI YA KUMI NA TANO KATIKA TASNIA YA  MITINDO ILIMFANYA KUOGOPWA NA KUHESHIMIKA KWA KUIKUZA FANI YA MITINDO  TANZANIA. | 
 
 
|  | 
| 4.  ROSE MHANDO, YEYE AMESHIKA NAFASI YA TATU KATIKA CHART IKIWA NDIO  MWANAMZIKI WA KIKE WA KWANZA TANZANIA KUSIGN MKATABA NA SONY. | 
 
5. MWANADADA JOKATE MWEGELO  MWENYE NGUVU YA SAUTI ANAKAMILISHA LIST YA MASTAA WATANO MAARUFU ZAIDI  TANZANIA, AKIWA NA HISTORIA YA KUFICHA MAISHA YAKE BINAFSI LAKINI BADO  WATU WA KARIBU WAKAYAANIKA, AMEJITAHIDI KUHAKIKISHA ANASIMAMIA JINA LAKE  LISIWEZE KUSHUKA WALA KUANGUKA KWA KUWA KAMA BALOZI WA VIJANA ANA MENGI  AMEJIPANGA KUYAFANYA NA BILA KUMAINTAIN HER FAME SHE CANT DO IT ALL BY  HERSELF
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !