Pages

HAWA NDO MASTAA WA KIKE WENYE UMAARUFU ZAIDI TANZANIA


1.HII NI TAKWIMU ILIYOFANYWA NA MVUTOKWANZA KWA KUANGALIA MAISHA WASICHANA HAWA MAARUFU KATIKA  FANI YA BURUDANI......JINA LA MWANADADA JUDITH WAMBURA NDIO LIMEKUWA LA KWANZA KUTAJWA KWA KILE ALIYEGUSWA, INASEMEKANA KUWA LADY JAY DEE NDIO AMEKUWA AKIONGOZA UUZAJI WA MAGAZETI MENGI YA BURUDANI ENDAPO HABARI YAKE ITAKUWA KATIKA UKURASA WA KWANZA

2.WEMA ABRAHAMU SEPETU, YEYE AMEKUWA AKIONGOZA KATIKA MAUZO YA FILAMU AMBAZO AMEKUWA AKISHIRIKISHWA KUTOKANA NA UFINYU WA SAUTI YAKE AU UTUMIAJI WA SAUTI YAKE, KWA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA WEMA SEPETU NDIO AMEKUWA AKIONGOZA KWA KUUZA MAGAZETI YA HABARI ZA BURUDANI NA UDAKU, NA UMAARUFU WAKE UNAELEZEWA KUWA NI ZAIDI YA WASANII WOTE WA FILAMU KWA SASA.



3.FIDERINE IRANGA, UKUBWA WA UMBO NA MBWEMBWE KIPINDI ALIPOKUWA AKIPANDA STEJINI MIKA MICHACHE ILIYOPITA KULIPA UMAARUFU MKUBWA NA KUWA MMOJA WA WANAWAKE WACHACHE WALIKUBALI KUSEMA VIBAYA NA MAGAZETI AU MEDIA NZIMA YA TANGAZIA BILA KUJALI, MIAKA ZAIDI YA KUMI NA TANO KATIKA TASNIA YA MITINDO ILIMFANYA KUOGOPWA NA KUHESHIMIKA KWA KUIKUZA FANI YA MITINDO TANZANIA.


4. ROSE MHANDO, YEYE AMESHIKA NAFASI YA TATU KATIKA CHART IKIWA NDIO MWANAMZIKI WA KIKE WA KWANZA TANZANIA KUSIGN MKATABA NA SONY.

5. MWANADADA JOKATE MWEGELO MWENYE NGUVU YA SAUTI ANAKAMILISHA LIST YA MASTAA WATANO MAARUFU ZAIDI TANZANIA, AKIWA NA HISTORIA YA KUFICHA MAISHA YAKE BINAFSI LAKINI BADO WATU WA KARIBU WAKAYAANIKA, AMEJITAHIDI KUHAKIKISHA ANASIMAMIA JINA LAKE LISIWEZE KUSHUKA WALA KUANGUKA KWA KUWA KAMA BALOZI WA VIJANA ANA MENGI AMEJIPANGA KUYAFANYA NA BILA KUMAINTAIN HER FAME SHE CANT DO IT ALL BY HERSELF

No comments:

Post a Comment