Mtangazaji mahiri wa
Clouds FM almaarufu kama
Dina Marios wa Leo Tena,baada ya kufikisha miaka kadhaa siku ya ijumaa iliyopita sasa basi aliweza kualika ndugu,jamaa na marafiki katika part yake.Ebu kuwa wa kwanza kuziona picha hizi katika blog hii ya kijanja.
Faraja katika pozi matata kabisa na maraki zake.
Izzo Bizness Millard Ayo akiwa katika pozi na Ommy Dimpoz. Katikati ni kijana Mtafutaji akiwa katika pozi na Ommy Dimpoz.
Nelly katika pozi kali na warembo.Endelea kutembelea blog ya ujanatz
Perfect wa club kumi katika pozi kali.
Tumetokelezea Ncha kali na Antu
Mandoza Ncha kali na Linah Tumetokelezeaa!!!!!!!!!!! Mashabiki wa Dina Marios. Dina Marios,Alex Kusanga wakiwa katika tabasamu na marafiki zao. Antu Mandoza akiwa na Ommy Dimpoz katika pozi kali DeeAndy na Emma Dina Marios na DeeAndy Faraja na Steve B Faraja,Ommy Dimpoz Steve B,Faraja,Lamar ,Ommy DimpozCREDIT DJ FETTY
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !