PICHA hii kwa hivi sasa imesambaa sana kwenye mitandao mingi sana ya kijamii, ila na sisi tukaona sio mbaya tuiweke mbelel yenu wadau wetu muweze kuiona.
Hii ni picha ya tukio halisi kabisa ambalo lietokeo huko NCHINI INDIA ambapo bwana mmoja mfugaji aliyetambulika kwa jina la Kandasamy, 45 aligundua ya kuwa moja kati ya mbuzi wake amejifungua mtoto ambaye ana jicho moja tu katikati tofauti kabisa na mbuzi weingine.
Jamaa huyo alidai kuwa "Mbuzi wangu wa kike alikuwa na mimba kubwa sana na alipojifungua mapacha sikushangaa kabisa, ila kilichonishangaza ni mmoja ya hawa watoto wake kwani ana jicho moja tu kati kati" alisema Kandasamy.
HATA hivyo wataalam wa mabo ya mifugu wamemtuliza Kandasamy kwa kumwambia kuwa hayo ni matatizo ya chromosome kubadilika na mara nyingi huwa yanatokea kwa viumbe wote na sio mbuzi peke yake!!
No comments:
Post a Comment