Pages

JUSTIN BIEBER ATAKA KURUDIANA NA SELENA





MWANAMUZI wa Pop na R&B, Justin Bieber anafanya kila awezalo kuhakikisha anarejesha furaha katika mapenzi yake na ,  Selena Gomez.

Tayari Justin ameshasema kuwa kwa sasa hafikilii kuwa na mtu mwingine zaidi ya mpenzi wake huyo.

Justine pia amekana kuwa na uhusiano na mwanamitindo Victoria's Secret, japokuwa wawili hao waliwahi kuonekana pamoja na kupiga picha.

Justin amesisitiza kuwa kwa sasa anataka kurejea kwa Serena na anafikili jambo hilo linawezekana kutokana na mazingira ya jinsi walivyoachana.

No comments:

Post a Comment