NDOA YA FLORA NA H.BABA YAIVA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » NDOA YA FLORA NA H.BABA YAIVA

NDOA YA FLORA NA H.BABA YAIVA


Baada ya kurudiana miezi michache iliyopita wachumba Flora Mvungi na Hamis Ramadhani 'H.Baba, wamevalishana pete ya uchumba hivi karibuni hali inayoelekea ndoa kuiva


Akizungumzia hilo Flora alisema anamshukuru mungu kwa kuwafikisha hatua hiyo kubwa ambayo ni kama nusu ya kufunga ndoa kwake japo kuwa hakuwa tayari kuiweka wazi siku yake ya kufunga ndoa rais

Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template