Pages

NDOA YA FLORA NA H.BABA YAIVA


Baada ya kurudiana miezi michache iliyopita wachumba Flora Mvungi na Hamis Ramadhani 'H.Baba, wamevalishana pete ya uchumba hivi karibuni hali inayoelekea ndoa kuiva


Akizungumzia hilo Flora alisema anamshukuru mungu kwa kuwafikisha hatua hiyo kubwa ambayo ni kama nusu ya kufunga ndoa kwake japo kuwa hakuwa tayari kuiweka wazi siku yake ya kufunga ndoa rais

No comments:

Post a Comment