Rapa Nicki Minaj ametoa tangazo la manukato yake ya 'Pink Friday' kwa kujiweka mwenyewe videoni, Rapa huyo ametuma kwenye mtandao wa You Tube tangazo hilo linalomuonyesha akiwa amelala kwenye kitanda cha maua waridi meusi huku kwa nyuma ukisikika wimbo wake mpya wa 'Freedom'
Sindano inayotoboa kidole chake tone ya damu la pinki linatoka na kuangukia kwenye waridi na kisha kila kitu kinabadilika rangi na kuwa cha pinki katika tangazo hilo la sekunde 30
No comments:
Post a Comment