Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa Tunzo hiyo baada ya kupokea |
Hapa nikifurahishwa na kustaajabu jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous...... |
Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo |
Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya |
Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya... moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa |
Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar.... naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo |
Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu |
mnh! kunambi tena..... |
Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar |
Redcarpetin kulikua hivi sasa |
No comments:
Post a Comment