UDAKU WA MASTAA WA BONGO;WEMA SEPETU ANUSURIKA KUTEKWA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » UDAKU WA MASTAA WA BONGO;WEMA SEPETU ANUSURIKA KUTEKWA

UDAKU WA MASTAA WA BONGO;WEMA SEPETU ANUSURIKA KUTEKWA


MISS Tanzania 2006 ambaye pia ni mcheza filamu mkali Bongo, Wema Isaac Sepetu, hivi karibuni alikumbwa na kizaazaa cha kutaka kutekwa na watu wasiojulikana wakimtuhumu kuwatukana kupitia Facebook.
 
Mrembo Wema Isaac Sepetu.
Akizungumza na Amani jijini Dar juzi, Wema alisema tukio hilo lilimtokea Kijitonyama, Dar wakati akitoka kwenye mishemishe zake kuelekea nyumbani kwake.
Alisema alipofika maeneo hayo, gari asilolijua lilimpita na kwenda kusimama mbele yake kisha wakashuka watu asiowajua na kuanza kumuuliza ni kwa nini anawatukana katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
“Nilivyosikia wanasema Facebook, roho yangu ikatulia maana najua kuna watu kama 37 wanaotumia jina langu na picha zangu kwenye Facebook, nilishuka kweye gari na kuanza kuwaelewesha kuhusu hilo, bahati nzuri walinielewa,” alisema Wema.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template