TAPERI AKISUBIRI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU ILI ASICHOMWE MOTO BAADA YA KUMTAPERI FUNDI MAGARI KIASI CHA SH 250,000 HAPO ALIPO KAPATA KICHAPO CHA KUTOSHA |
KICHAPO KIMEANZA TENA MAANA ALITOKEZA JAMAA MWINGINE ALISHAWAHI TAPELIWA NA TAPELI HUYU MZOEFU |
WANANCHI WENYE HASIRA KALI WANAMTANDIKA KISAWASAWA YAANI HATARI TUPU |
FUNDI MAGARI ALIYETAPELIWA KIASI CHA SH 250,000 AKIWAOMBA WANANCHI WENYE HASIRA KALI WASIMCHOME MOTO TAPELI WAKE KWANI WAKIMCHOMA YEYE ATAKOSA PESA ZAKE KWANZA APATE PESA ZAKE NDIPO ACHOMWE KAZI IPO |
TAPELI ANAOMBA MSAMAHA KUWA HATARUDIA TENA KAZI HIYO YA UTAPELI AMEKOMA |
HAKI YAMUNGU TENEA NITARUDISHA PESA ZOTE KWANI NIMEMPA MWENZANGU NAOMBENI MSINIUE JAMANI NIMEKOSA SIRUDII TENA |
ACHOMWEEE ACHOMWEEE WALISIKIKA VIJANA HAO WAKITAKA TAPELI HUYO ACHOMWE MOTO KWANI AMEZOEA TABIA HIZO ZA KITAPELI ENEO HILO |
ALIYETAPELIWA AAMUA KUMKIMBIZA TAPELI WAKE ASICHOMWE MOTO KWANI AKICHOMWA MOTO ATAKOSA PESA ZAKE |
JAMAA NAO WAPI WAPO NYUMBA TU WANAMFUKUZIA KUTAKA KUENDELEA KUMTANDIKA TAPELI HUYO |
TAPELI AMEOKOLEWA KUCHOMWA MOTO SASA WANANCHI WANASUBIRIA POLISI ILI WAJE WAMCHUKUE HUYO TAPELI |
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !