ANGALIA PICHA NAMNA DIAMOND,JUMANATURE,PFUNK,LINAH,AT NA RACHEL WALIVYOFUNIKA KATIKA BIRTHDAY YA CLOUDS BILCANAS! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA NAMNA DIAMOND,JUMANATURE,PFUNK,LINAH,AT NA RACHEL WALIVYOFUNIKA KATIKA BIRTHDAY YA CLOUDS BILCANAS!

ANGALIA PICHA NAMNA DIAMOND,JUMANATURE,PFUNK,LINAH,AT NA RACHEL WALIVYOFUNIKA KATIKA BIRTHDAY YA CLOUDS BILCANAS!


Wasanii wa THT, Rachel na Lina wakikamua.
Lina akiimba kwa hisia.
Dully Sykes akikamua.
Naseeb Abdul ‘Diamond’ akizindua kibao chake kipya kiitwacho Nataka kulewa.
Mashabiki wakimtunza Diamond.
Makamuzi yakiendelea.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Keisher (kulia) na shosti wake wakifurahia burudani.
AT akifanya makamuzi.
Mashabiki wakiserebuka kwa raha zao.
Ni raha tupu!
P Funk ‘Majani’ naye alikuwepo.
Juma Nature (kulia) na KR Mullah wakinogesha hafla hiyo.

UMATI mkubwa wa mashabiki usiku wa kuamkia leo ulifurika Club Bilicanas jijini Dar es Salaam ambako kulifanyika ‘Birthday Party’ ya kituo cha redio cha Clouds cha jijini Dar es Salaam kutimiza miaka 13. Katika hafla hiyo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
                                      
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template