ANGALIA PICHA;TOP 20 THE MICK KING, SHOW KALI ZA WASANII ZAPASUA ANGA LA DAR LIVE;WASANII WALIOKUWEPO Bob Junior, Suma Mnazareth, Chid Benz, Joh Makini, Dogo Aslay, Tunda Man, PNC, Dogo na Bi Cheka.
Mmoja wa washindani wa The Mic King akikamua.
Mkali mwingine wa Mic huyu hapa akirap.
Bi Cheka akikamua na Dogo Aslay.
PNC akifanya vitu vyake.
Dogo Janja akiserebuka na mashabiki.
Bob Junior (kulia) akiwapagawisha mashabiki.
Mashabiki ‘wakimshangalia’ Bob Junior.
Tunda Man ‘akiwasherehesha’ mashabiki.
Mashabiki wakiwa wamepagawa.
Joh Makini akichana mistari.
Rich Mavoko akiwa katika anga lake.
Wanenguaji wa 'Twanga' wakiwa kazini.
…Wakindeleza mashambulizi.
Wanamuziki wa ‘Twanga Pepeta’ Abilai (kushoto) na Victor Mkambi wakikamua msosi.
Tunda Man (wa pili kulia nyuma) akiwa na kundi lake kabla ya kupanda jukwaani.
…Akimfua mmoja wa vijana wake.
Luteni Kalama akiwa na mpenzi wake Bella.
…Akinengua na Jini Kabula sambamba na Bella (kulia).
Baadhi ya mashabiki wakivinafasi.
Tunda Man (kulia) akiwa na shabiki wake.
Chipukizi wa Bongo Fleva kutoka kwa Mkubwa Fella wakipozi mbele ya kamera.
No comments:
Post a Comment