Pages

SAJUKI KURUDI INDIA KUFANYIWA MATIBABU


Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa wako katika mipango ya kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya matibabu.
\credit kwa bongoclantz

No comments:

Post a Comment