Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama A.Y.baada ya kuwania tuzo ya Channel O Most Gifted East African Award huko nchini South African.
Siku ya jana katika maeneo ya Nyumbani Lounge aliweza kualika ndugu,jamaa na marafiki ili waje kusherekea ushindi wa tuzo hiyo pia bila kusahau mastaa mbalimbali walijitokeza kwa wingi. Mchizi Mox,marafiki wa A.y Ommy Dimpoz Bonny Love akiwa Mchizi Mox Gerry Rhymes,Mchizi Mox na Gk Fm kibonde na A.Y
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !