BONGO MOVIE WAMEJIPANGA;ANGALIA PICHA IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » BONGO MOVIE WAMEJIPANGA;ANGALIA PICHA IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

BONGO MOVIE WAMEJIPANGA;ANGALIA PICHA IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI



irene 4
irene 3
irene 2
irene 1


Hii ni changamoto na ni tofauti na mastaa wengine ambao huangusha party ya nguvu kusherehekea siku zao za kuzaliwa, hivi karibuni Irene Uwoya aliamua kufanya kitu tofauti katika siku yake ya kuzaliwa, December 18.

Muigizaji huyo mrembo aliamua kwenda kwenye hospitali ya Mwananyamala kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template