DOGO JANJA APIGWA MKWARA NA BABA YAKE! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » DOGO JANJA APIGWA MKWARA NA BABA YAKE!

DOGO JANJA APIGWA MKWARA NA BABA YAKE!


Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ akiwa na baba yake mzazi, Abubakar Chende.
 Baba yake Dogo Janja ambaye alikuja kumtembelea mwanaye hivi karibuni jijini Dar akitokea mkoani Arusha, alisema licha ya kufurahishwa na maendeleo ya mwanaye chini ya uongozi wa Ostaz Jumanamusoma, kikubwa amemsihi asije akajaribu kuvuta sigara.

“Mimi navuta kwelikweli, lakini mwanangu sitaki kusikia hata siku moja unavuta sigara kwani si nzuri kabisa,” alisema baba Dogo Janja.


Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template