Raia wa Mtwara wameandamana kupinga kuhamishwa kwa gesi ambayo inachimbwa huko na kupelekwa Dar es Salaam.Wananchi hao wanasema waliahidiwa na Serikali ya kuwa gesi hiyo ingeweza kuwasaidia wao lakini badala yake wanaambiwa gesi hiyo itasafirishwa na kwenda jijini Dar. Wananchi hao wamekusanyika
No comments:
Post a Comment