Hii ndio treni itakayotumika katika party ya DMM 88.5 Dar mpaka Moro, siku ya kesho December 29.Lakini kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam naweza kusema bado aujachelewa kwani ticket zinapatikana kwa elfu 70 na laki moja kwa V.I.P katika ofisi za Clouds fm na Tazara! Tunaondoka kesho saa 2 na kurudi jioni!
No comments:
Post a Comment