UDAKU NA UNAA WA MASTAA WA BONGO;" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » UDAKU NA UNAA WA MASTAA WA BONGO;" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA

UDAKU NA UNAA WA MASTAA WA BONGO;" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA



MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume


Akiongea  na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.


“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,”
alisema Dida.

CREDIT KWA MPEKUZI
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template