ANGALIA PICHA;MBUNGE WA KENYA AINGIA BUNGENI NA KIDUKU
MBUNGE Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya, mwenye vioja llukuki ndani na nje ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa amevaa hereni maskioni,Juzi alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa nywele mtindo wa KIDUKU na kukiandika "PEACE" katikati
No comments:
Post a Comment