OMARY OMARY MSANII ANAYETAMBA KWA NGOMA ZA MCHIRIKU AFARIKI DUNIA!
MSANNI MAARUFU WA NGOMA ZA MCHIRIKU BWANA OMARY OMARY ALIFARKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO . MSIBA WA OMARY OMARY UPO NYUMBANI KWAO TEMEKE MIKOROSHINI MUNGU AILAZE ROHO YA MAERHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINI!
No comments:
Post a Comment