 Shakira na mpenzi wake  Gerard Piqué  ambaye ni mchezaji wa mpira timu ya FC Barcelona ya Hispania wameachia picha kadhaa  katika mtandao zinazoonyesha ujauzito wake wakati wakisherehekea ujio wa mtoto  wao wa kwanza anayetarajiwa kuzaliwa wa kiume.

Shakira na mchezaji huyu  wa FC Barcelona walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video ya  Shakira, (waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe la  dunia.

0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !