KUWA MAKINI NA HII AKAUNTI FAKE  IITWAYO ASHA MUREMBO
MWANADADA  MKALI KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIE AJULIKANAYE KAMA  RAYUU  AMELALAMIKA KWA KUCHAFULIWA  NA AKAUNTI FAKE YA FACEBOOK INAYO TUMIA  PICHA ZAKE, AKAUNTI  HIYO ITUMIAYO  JINA LA ASHA MUREMBO HUWEKA STATASI  ZA KUWAOMBA PESA WATU KWA KUJIFANYA KAMA NI RAYUU
,KWANI  KUNA  WANAUME KIBAO AMBAO WASHALIWA PESA  NA HUYU DADA FAKE ASHA MREMBO,  HII AKAUNTI  IMEMSABABISHIA MATATIZO MAKUBWA KIFAMILIA  PIA HATA  WASANII WENZAKE HUMLAUMU KWA KUDHANI  NI YEYE RAYUU,  PIA  WANAUME WALIO  TAPELIWA PESA ZAO  HUMSUMBUA  KWA KUDHANI YE NDO  KAWATAPELI.
ANAOMBA MASHABIKI WAKE NA WATU WOTE KWA UJUMLA KUTO TILIA MAANANI HII AKAUNTI FAKE YA FACEBOOK IJULIKANAYO KAMA ASHA MUREMBO.
BAADHI YA STATUS ZA ASHA  AKIOMBA PESA
HII NDO AKAUNTI  ORIGINAL YA RAYUU 
PIA RAYUU KASEMA MASHABIKI WAKE WAKAE  MKAO WA KULA KWA KUJIANDAA KUPOKEA MOVIE YAKE MPYA IJULIKANAYO KWA JINA  LA  HIGH HEELS  AKISHIRIKIANA NA CHUZI NA MASTAA WENGINE KIBAO
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !