Pages

ANGALIA PICHA NAMNA WANAWAKE WASAGAJI WALIVYOANDAMANA KUDAI HAKI ZAO!



Kimenuka pale Afrika ya Kusini wanawake wasagaji wameandamana kudai haki zao kushinikiza serikali ya nchi hiyo iwatambue na ihalalishe mapenzi ya jinsia moja.
Hii jamani waumini wa dini zote tuliombee taifa la Tanzania yasitukute haya maana ni upuuzi ulio na maana kwa watu wenye kufuata maadili.

No comments:

Post a Comment