Pages

BLOG YA UJANATZ INATIMIZA MWAKA TOKA IANZE KUOPERATE, KHERI YA MWAKA MPYA BLOG YA UJANATZ!

Blog ya ujanatz ilianzishwa MARCH 2012, kwa lengo la kuweza kuwapa Habari  wana Africa mashiriki pamoja na Watanzania wote kwa ujumla Dunia nzima.

DHUMUNI; dhumuni la kufungua blog hii ni ili kuwarahishia watanzania kupata habari kwa urahisi kwa kutumia internet.


VISION; Vision ya blog au website ya ujanatz ni iwe the leading blog ambayo inayosomwa sana na watanzania

                            mpaka mda huu naweza kusema bado team ya ujanatz inasafari ndefu na tushafkia robo ya safari hiyo..

AHSANTENI SANA WADAU PAMOJA NA MABLOGGER WENZANGU KWA SUPPORT YENU

MIPANGO; tunampango wa kuifanya blog ya ujanatz kuwa website ndani ya  mwezi huu ahsanteni endelea kutembea WWW.UJANATZ.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment