Pages

HAKUNA USAJILI WA AJABU KUTOKEA DUNIANI KAMA HUU WA CALVIN YONDANI KUTOKA SIMBA KWENDA YANGA

HAKUNA USAJILI WA AJABU KUTOKEA DUNIANI KAMA HUU WA CALVIN YONDANI KUTOKA SIMBA KWENDA YANGA =========================  1- KUMUWEKEA MTU PESA MEZANI ILI ASAINI TIMU YAKO KUNAMAANISHA NINI?  2- JE HUYU MTU ALIPEWA ULINZI WA KUTOSHA ILI AWE SALAMA AENDAPO NA KIASI HIKI CHA PESA?  3- KUNA TIMU GANI DUNIANI AMBAYO IMESAJILI MTU AWE BURE AU KWA MALIPO ILIYOWAHI KUWEKA PESA MEZANI KAMA HIVI WALIVYOFANYA YANGA NDALA ?  USHAURI: KWA NCHI ZILIZOENDELEA HURUHUSIWI KUNUNUA NYUMBA AU GARI KWA KULIPA KIASI CHOTE CHA FEDHA ATA KAMA UNA ELA ZAIDI YA HICHO KIWANGO HUSIKA . HIVYO BASI YANGA NDALA BADILIKENI KWA HILI HUYU MTU HAJASAINI KWA MAPENZI YA TIMU BALI HICHO KISHAWISHI CHA PESA MLICHOMUWEKEA NDICHO KILICHOFANYA LEO HII AWE MCHEZAJI WA YANGA NDALA.  NARUDIA TENA NCHI ZA WATU HII KESI NA MNATAKIWA KUJIBU NDALA.


1- KUMUWEKEA MTU PESA MEZANI ILI ASAINI TIMU YAKO KUNAMAANISHA NINI?

2- JE HUYU MTU ALIPEWA ULINZI WA KUTOSHA ILI AWE SALAMA AENDAPO NA KIASI HIKI CHA PESA?

3- KUNA TIMU GANI DUNIANI AMBAYO IMESAJILI MTU AWE BURE AU KWA MALIPO ILIYOWAHI KUWEKA PESA MEZANI KAMA HIVI WALIVYOFANYA YANGA NDALA ?

USHAURI: KWA NCHI ZILIZOENDELEA HURUHUSIWI KUNUNUA NYUMBA AU GARI KWA KULIPA KIASI CHOTE CHA FEDHA ATA KAMA UNA ELA ZAIDI YA HICHO KIWANGO HUSIKA . HIVYO BASI YANGA NDALA BADILIKENI KWA HILI HUYU MTU HAJASAINI KWA MAPENZI YA TIMU BALI HICHO KISHAWISHI CHA PESA MLICHOMUWEKEA NDICHO KILICHOFANYA LEO HII AWE MCHEZAJI WA YANGA NDALA.

NARUDIA TENA NCHI ZA WATU HII KESI NA MNATAKIWA KUJIBU NDALA.

No comments:

Post a Comment