Pages

JIKUMBUSHIEE HII PICHA YA WEMA SEPETU ALIVYOVISHWA PETE NA DIAMOND THE PLATNUM

Wema Sepetu akiwa na pete aliyovishwa na Dimaond.




KATIKA ulimwengu huu kuna mambo mengi yanayofurahisha. Yapo pia yanayosikitisha na utapeli katika uhusiano wa kimapenzi umetamalaki.


Nimeanza na utangulizi huo nikiwa na maana kuwa katika jamii inayotuzunguka inabidi mtu uwe makini lasivyo utajikuta kwenye wakati mgumu hasa kwa wasichana wanaohitaji kuolewa.Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuwarubuni wanawake wakiwadanganya kuwa watawaoa, ahadi ambazo hazitimii…

No comments:

Post a Comment