Pages

KITUKO KUTOKA UJANATZ CHEKA UONGEZE SIKU HAYA SOMA HAPA KISA CHA MWALIMU NA DENTI

Ama kweli UALIMU kazi ya wito MWANAFUNZI mmoja hajui kujumlisha+ wala kutoa- Mwalim katumia njia zote kumuelimisha lakin wapi Ikabidi ajaribu njia hii Mwl: Kwenu mnafuga nin Mwnfz: Kuku na mbuzi. Mwl: Mbuzi mnao wangapi? Mwnfz: 25 Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5 watabaki wangapi? Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au unawackia? Ukimtoa mmoja tu wote wanatoka.Ama kweli UALIMU kazi ya wito
MWANAFUNZI mmoja hajui
kujumlisha+ wala kutoa-
Mwalim katumia njia zote
kumuelimisha lakin wapi Ikabidi
ajaribu njia hii
Mwl: Kwenu mnafuga nin
Mwnfz: Kuku na mbuzi.
Mwl: Mbuzi mnao wangapi?
Mwnfz: 25
Mwl: Mbuzi 25 toa mbuz 5
watabaki
wangapi?
Mwnfz: Unawajua mbuz we2, au
unawackia?
Ukimtoa mmoja tu wote
wanatoka.

No comments:

Post a Comment