Pages

DAVID BECKAM ASAINI DILI LA DOLA MILION 30!

beckham


Mwanasoka tajiri duniani David Beckham atalipwa dola milioni 30 katika kipindi cha miaka mitano (5) baada ya ku-sign mkataba mpya na kampuni moja ya uingereza inayoitwa British media company Sky.


Mwanasoka huyo licha ya kupokea kiasi cha mshahara kisicho fanana na wanasoka wengine ulimwenguni hivi karibuni alifunguka kuhusu mpango wake wa kutoa sehemu ya kipato cha mshahara wake kusaidia watoto wa makwabwela nchini uingereza.
Beckham amefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika soka na amekuwa roll model kwa wanasoka chipukizi kote duniani.

No comments:

Post a Comment