Mwenyez Mungu atunusuru na mume wa aina hii, hiki kipigo bidada alikipata baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q.
Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akamppasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwani yani ilimradi taflani tupu,
Hammer Q ni mshikaji wangu lakini kwa hili umeniboa sana na kila nikiangalia hizi picha mwili unanisisimuka, #im sad mi hapa :(
pole Salha Inshaallah utapona wifi yangu :(
No comments:
Post a Comment