MAPENZI NA USHAURI; Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » , » MAPENZI NA USHAURI; Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei

MAPENZI NA USHAURI; Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei

Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi...
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei

Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita...
Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na MAMBO  yangu ni kubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani...

Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO  iwe  ndogo?
Hide My Name.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template