Jamani
 hii ilikuwa jana sasambua mtaani mtoto katoka 40 basi watu shurti 
kumwaga manyanga..hapana chezea watoto wa mabibo umeona??? umeona SHOGA 
hilo linavyokata kiuno halafu wewe mwanamke mzima unalala kama gogo 
inahusu?????? chambua picha vizuri uone mashosti walivyokuwa 
wanaserebuka wapi mama Lulu kati ya kinondoni upo???? Jumamosi kwako 
mama na sitaki kupiga picha nataka nipigwe miye nisasambue kwa raha 
zangu..nizionyeshe sha....zinazompa wa ubavu wangu raha umesikia 
eehhh..mwanamke kiuno babu makalio majaliwa umenipata????? 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !