Idadi ya maafisa wa polisi waliofariki katika shambulizi la wezi wa mifugo huko baragoi imefikia arubaini na mbili. Kamishna wa polisi matthewa iteere aliandamana na maafisa wengine wa usalama katika eneo hilo kuwasindikiza maafisa hao waliofariki katika safari yao ya mwisho kurejea nyumbani hapa jiji ni nairobi. Miili yao imelazwa katika chumba cha maiti cha kenyatta. Aidha iteere ameahidi uchunguzi na hatua mwafaka kuchukuliwa dhidi ya wezi wa mifugo huo samburu kaskazini.
Home
»
»
Idadi ya polisi waliouawa Samburu yafika 42 [Video]
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !