Umoja wa watanzania Ujerumani,unafuraha kutoa wito kwa wasanii
wa Tanzania wanaoishi nchini Ujerumani,wenye vipaji vya kupiga na
kuchenga ngoma za kiasili,sanaa za maonyesho kama sarakasi,
na waimbaji wa kwaya ,kujitokeza hili kuunda kikundi cha ngoma za
kiasili,Wasanii tunawaomba muwasiliane na Mwenyekiti wa UTU
namba ya simu +49(0)1734298997.
Wasanii wa Tanzania mnaoishi Ujerumani mnaombwa kutokalia
vipaji vyenu majumbani,tafadhalini tumieni nafasi hii kujitangaza
Kuutangaza utamaduni wa nchi yetu.mfano mnauona kwa wanamuziki
wa dansi wanajitangaza.
Wasanii tumieni nafasi ,jitokezeni kwa wingi kuunda kundi.
Umoja ni Nguvu
Mfundo Peter Mfundo
Mwenyekiti(UTU)
email. kamati.utu@gmail.com simu 01734292997
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !