Kwa muda barabara ya Magomeni kwenda Sinza kupitia Tandale eneo la  Somanga, Magomeni makuti, ililazimika kufungwa kwa magari ili kupisha  umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisindikiza mwili wa Mariam Khamis  kwenda katika mahala pake pa mwisho duniani. Mariam ambaye alikuwa  muimbaji wa 
bendi ya TOT Taarab alijulikana sana kwa wimbo wake 'Paka  Mapepe' alipoteza uhai wake jana katika hospitali ya Muhimbili, kutokana  na matatizo baada ya kujifungua. Ukubwa wa umati ule ni kielelezo  kikubwa kuwa marehemu alipendwa na watu. Mungu ailaze Roho yake pema  peponi Amin
                            Home
                          
                          »
                          
                          » 
                          ANGALIA PICHA JINSI UMATI WA WATU ULIVYOJAA KATIKA KUMZIKA MSANII WA MUSIKI MARIAM KHAMIS 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !