Kimenuka  pale Afrika ya Kusini wanawake wasagaji wameandamana kudai haki zao  kushinikiza serikali ya nchi hiyo iwatambue na ihalalishe mapenzi ya  jinsia moja. Hii  jamani waumini wa dini zote tuliombee taifa la Tanzania yasitukute haya  maana ni upuuzi ulio na maana kwa watu wenye kufuata maadili.
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !