Humu ndimo amelala mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea 
 Imam akiongozo sala ya maiti
 Ndugu jamaa na marafiki waliojumuika katika dua
 Dua ikiendelea
Umati wa watu ulofika kumsindikiza mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea kuelekea nyumba yake ya milele
 Umati wa watu mchana huu katika mazishi ya marehemu Sharo Milionea Muheza, Tanga
Rafiki  kipenzi na mwigizaji nguli wa Tanzania Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa  mkono huku wakielekea kwenye mazishi mchana huu Muheza Tanga.
 
 







+Mlela+bebe%28_%29.jpeg)
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !